Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, May 2, 2012

KUTOKA FACEBOOK ZA WATU MAARUFU ASUBUHI YA LEO ZINASOMEKA HIVI.

 John MnyikaMwezi Aprili nilifuatilia kuhusu hatma ya daraja hilo na hatimaye mkataba wa ujenzi wa daraja husika umesainiwa kati ya Manispaa ya Kinondoni na Mkandarasi Kika Co. Ltd kwa gharama za shilingi milioni 447; hatua kama hizi zinahitajika pia kwa barabara ya Mburahati-Mabibo;.

 Ahmad Issa Michuzi 30 minutes ago Still bado namtafuta..!?


Nape Nnauye ‎"HUKUMU DHIDI YA UBUNGE WA MBUNGE WA SUMBAWANGA MJINI NDG. AESHI NAYO IMETOKA NA KUSHINIKIZWA NA IKULU" Chadema



 Freeman Mbowe April 2 Arumeru Mashariki. Matokeo: CHADEMA: 32,535. CCM: 26,296 .


 Hasheem Thabeet April 26 HAPPY MUUNGANO DAY TANZANIA.. #CHANGETANZANIA


 Ridhiwani Kikwete ‎"Some of the kids who struggle the least because their parents struggled the most appreciate the least and complain the most." via Xolisa Dyeshana on Twitter.
 
 
 
 Dr. Wilbrod Slaa Monday Harakati za kuwaweka viongozi macho katika jukumu lao la kuuhudumia umma ni harakati ambazo hazina ukomo. Daima tutasimamia hili!
 
 

No comments:

Post a Comment