Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, May 18, 2012

MY BDAY DAY WAS mmmmmmmh!! a day to remember



kwa kweli mwaka huu 2012 birthday yangu nimeikuta naifanya tofauti kabisa na vile nilivyopanga nikutokana na muingiliano wa mambo a kazi kuw anyingi sana kiasi kwamba nikakosa muda muafaka wa kuparty lakini shukurani nyingi kwa marafiki , mashostito wangu Familia ndugu jamaa na wote waliofanikisha nikaenjoy kw avipindi vi 3 tofauti mniwie radhi coz picha nzuri zaidi zitakuja hapa hii nikatika kukupa dodosha walau ya kilichojiri baada ya kuombw ana washabiki niweke wazi mambo yalikuwaje.
 hivi ndivyo ilivyo kuwa hii ni baada ya kutoka ofisini saa 3 usiku kaka zangu na marafiki wakaniandalia kajipart na chakula cha jioni kwa siku hiyo ya tarehe 15 tukaburudika hadi usiku wa manane
 my brother Fredy ambe aliandaa shuhuli nzima
 Rafiki yangu wa karibu Dataz ndie alie nifanyia keki hii
 mie na mashost na mdogowangu Merry ambe nae hakuw ambali na mimi
 mery kessy mdogo wangu akijionea vibweka
 my shosti na d my Best friend Dataz
  mie na shost
 hapo kila mtu alikuw ana kajimeza kake thankx my bro freddy
 siku ya bday yangu mchana nilikata keki na wafanya kazi wenzangu ilinoga sana namshukuru Mungu kwa nguvu na uweza wake
 ma Moshi Habib Kimodo
 zawadi hii ilitoka kw akaka yangu ambae aliiwakishisha shosti wangu Dataz was a nice keki

thank you kaka freddy keki ilikuw atamu balaa

staff wenzangu wakijimegea keki
zawadi toka kwa rafikiyangu ambae nilisoma nae Veta HAPPY ADAM thank you kwa kanga yenye maneno mazuri
raha mtindo mmoja ofisini
pacha akifanya mambo JK
salum mwinyi mkuu kijana ya zenji akinilisha keki
na staff wenzangu @ Clouds aka mjengoni
was realy nice i wont forget
nikimpa keki bosi wangu Joyce shebe
hapo wanaimba kata keki tuleeeeeee ha ha hah ha nawapenda sana

mie mwenyewe huyo weee

SIKU YA TATU BALOZI MFANYAKAZI MWENZANGU AKANITOA LUNCH COZ SIKU YA BIRTHDAY YANGU ALIKUWA BUSY SANA HAPA ALINIPELEKA DRAGON CHINISE HOTEL AAAH MIE KWA NUDOZ TENA lovely THANK YOU KAKA BALOZI .

MISOSIIIII NTAPUNGUA KWELI MMH
pacha hakuwa mbali na mie lv you pacha JK
mie na kaka Balozi thank you bro nili enjoy the lunch was so delicious
mwenyewe najisomea MENU akuu
BaloJIIIIIIII
niliandaliwa meza aaah thank you Chinise
ikawa mmmm

mie na pacha sasa



 keki kwisha habari yake imekatwajeeee
 na kakangaz mwanamke kangaz
mie na kaka maestro


 na kaka shafii Dauda
 na salum mwinyi mkuu
 luambano weeee
 ilikuw akazi kweli kweli

 abel onesmo mwanahabari mwnzangu
 na mdogo wangu James
 na mdogo wangu Qusa
 pacha weeeeeeeeeeeeeeee
 ikawa
 hiiiiiii




MM

No comments:

Post a Comment