Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, May 7, 2012

My Jumapili nilimtembelea Dada na rafiki yangu wa karibu Monica

Baada ya muda mrefu bila kuonana nilimtembelea home kwake da Monica rafiki na mshauri zuri sana kwangu hakika jumapili yangu ilikuwa safi sana baada ya kupata champagne  tukajipura na kwenda kucheza na mapacha 
hakika nili enjoy sana maana ilikuwa burudani ya kutosha thankx da Monie love you much xo xo!

No comments:

Post a Comment