Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, May 17, 2012

KUTANA NA DADA REGINA MWALEKWA KATIKA BLOG YAKE NA MAMBO MAZUUURI

Haya wadau nachuku nafasi hii kuwaambia Dada Regina Mwalekwa wa clouds media grop na yeye kaingia katika ulimwengu wa Blog nivyema tuka mpatia suport na kutembelea kijiwe chake kuona yale mengi ambayo huyafahamu na mazuri kutoka kwake usisite kumtembelea kupitia  http://www.kegajo.blogspot.com/ habari ndio hiyo

all the best Da regina tuko pamoja daima.
Big Up Da Regy.

1 comment: