Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, May 9, 2012

VIONGOZI WETU NA BLOGS PAMOJA NA WEBSITE FUATA HII YA MHE: KIGWANGALA.



Nafurahi kuona na kutambua kuwa hata viongozi wetu sasa wengi wao wameanza kuona Umuhimu wa kuwa na Mitandao ili kufikisha ujumbe wa wapiga kura waoa na  watanzania kwa ujumla kwa mara nyingije mapema jana nilikutambulisha blog mpya ya mbunge wa Viti maalum Vicky Kamata, leo naomba nikualike ujiunge na blog hii mpya ya Mbunge wa nzega Hamis Kigwangala ambae nae anakuja na ukurasa wake akiweka mambo mbali mbali tafadhali fuatilia kwa makini na ujifunze  pamoja na kusoma mengi usiyo yafahamu.
Bravo kwa viongozi wanao miliko Blogs na website
Bonyeza hapo kufaidi.

http://hamisikigwangalla.com/

No comments:

Post a Comment