Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, November 5, 2012

Arusha Artists na track "Arusha Kilele"

 
Katika kusherehekea Arusha kuwa Jiji,Artists kutoka kaskazini kwa pamoja wamerecord track pande za noizmekah studios kwa hisani kuu ya Serikali yaani ofisi ya mkuu wa mkoa na Manispaa ya jiji na nyimbo inakwenda kwa jina la "Arusha Kilele" inayozungumzia mema na mazuri tele kuhusu Arusha.sikiliza na kudownload hapa kusupport Tanzanian music.

No comments:

Post a Comment