Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, June 15, 2015

BALTON TANZANIA YAJA NA MPANGO WA KUWAKWAMUA WAKULIMA WADOGO WADOGO.



Na JAMES LYATUU
Katika kumuwezesha mkulima aweze kufanya kilimo cha kisasa na chenye tija, Kampuni ya BALTON Tanzania inayojihusisha na masuala ya kilimo imeanzisha  kifurushi kijulikanayo kama Mkulima jikwamue chenye lengo la kumuwezesha mkulima kutoka katika kilimo cha mazoea na kumfanya kuweza kufanye kilimo chenye tija kitakachosaidia kukuza uchumi.
Akizungumzia namna program hiyo inaweza kumnasua mkulima kiuchumi, Afisa habari wa kampuni hiyo LINDA BYABA ameeleza kuwa lengo la kuanzishwa kwa mfu





mo huo ni baada ya kuona wakulima wengi wakifanya kilimo cha mazoea.
Hapa anabainisha faida za mkulima kutumia kifurushi hicho cha kilimo kinachotumia teknolojia ya kisasa ya GREEN HOUSE.
Clouds Tv imezungumza na baadhi vijana ambao ndio wamekuwa wakilalamikiwa kutojihusisha na kilimo na huu ndio mtazamo wao.


Ni wakati muafaka sasa kwa wakulima kubadilika na kufanya kilimo cha kisasa kinachoweza kuinua uchumi wao binafsi na taifa kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment