Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, June 5, 2015

NATANGAZA NIA ...


Naitwa Sophia Kessy wa Clouds TV nimetafakari kwa kina, nimejitathimini, hivyo basi Jumatatu wiki ijayo kuanzia saa moja na nusu mpaka saa Mbili kamili usiku nitakuwepo kwenye Clouds TV Habari, nikitangaza nia