Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, June 22, 2015

KLABU YA LIVERPOOL MBIONI KUMSAJILI FERNANDO LlORENTE WA JUVENTUS



Taarifa za usajili zinasema kuwa klabu ya Liverpool ipo katika mbio za kupata saini za washambuliaji wawili Fernando Llorente wa Juventus na Carlos Bacca wa klabu ya Sevilla.

Manchester United wanakaribia kumsajili kiungo wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger kwa ada ya euro milioni 7.

Klabu za Chelsea na Manchester City zipo katika ushindani  wa kumuwania kiungo wa Barcelona Alex Song.

No comments:

Post a Comment