Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, June 29, 2015

SIONGEZI WALA SIPUNGUZI ILA UKWELI NI KWAMBA BET WANAPASWA KULIANGALIA HILI KWA UMAKINI ZAIDI

BET Awards 
















 Kwa kipindi cha miaka kadhaa BET Awards imekuw aikitoa tunzo kwa wanamuziki wa afrika  mapema tena backstage au wakati mwingine muda mfupi kabla ya show kuanza.
mwaka huu kijana wa Ghana , ambae ni wa miondoko ya  dancehall ajulikanae kwa jina la Stonebwoy alishinda tunzo ya‘Best International Act Africa’ award na watu kadhaa wakawa wameongea kuhusu ukweli wa BET kutowathamini wanamuziki na kazi zao kwa kile kinachodaiwa kuwapa tunzo wakiwa backstage au kabla ya tamasha husika  kuanza.
Stonebwoy alikuwa amechaguliwa pamoja na Sarkodie, wa South Africa AKA na The Soil, mwanamuziki wa kongo  Fally Ipupa, kundi kutoka nchni Kenya la Afro-Pop band maarufu kama Sauti Sol, wanamuziki wawili wa nigerian, Wizkid na Yemi Alade.
Dencia na Fuse ODG akaelezea hisia zake kwanini hakwenda kwenye  BET’s kupitia mitandao ya kijamii kama inavyosomeka hapo chini.

Fuse ODG wrote:

Untitled
Dencia shared her thoughts on Instagram and stated that instead of people focusing on her outfit (click here if you missed it) they should focus on this.
Dencia
hakuishia hapo akaongeza While u were worried about my outfit?your faves were waiting to give a speech in front of empty chairs with pictures at an award show made for black people.I wish y’all will be telling BET to fix that.Two years ago i spoke about that I was called a hater..FYI awards don’t come with money & awards don’t mean anyone is better than anyone (After all I have seen amazing artists get beat by not so good artists) so while u worried about me getting an award I am worried about where I’m gonna drive my Rolls Royce wraith to but for those of you who care I think African artists should be treated equally (like the American artists) how are you bringing cultures together if u aren’t putting them together officially? If the Oscars did the same thing all I’ll hear is racism..now take ur remaining data and help ur brethren (when they show u the awards in Africa it is edited to look like it was given in front of everyone)
 PALE INAPOWAFIKA WATU HAPA NIMEKUWA NIKIANGALIA HILI KWA KINA SANA ILA KUNA UKWELI MMNO KWELI HAIWEZEKANI MTU ASHINDE APEWE TUNZO PEKEYAKE NI BORA WASIPEWE KABISA AU IFANYIKE NAMNA YA KUWASHIRIKISHA WOOTE NA WANAMUZIKI NA CELEBRITY WOTE NA TUNZO ZITOLEWE KWA WAKATI MMOJA SIO KUWATENGA I HOPE UJUMBE UTAWAFIKIA WALENGEWA 

No comments:

Post a Comment