Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, June 4, 2015

SAA YA GHARAMA ALIYOVAA MKE WA RAIS WA NIGERIA YAZUA UTATA

picha inayo muonyesha first lady wa Nigeria akiwa amevaa saa ya gharama imezua utata baada ya kupelekea baadhi ya wananchi wa taifa hilo kuhoji haswa kulikoni saa ya gharama kiasi hicho.

Mnamo mwezi March,  Muhammadu Buhari  alichaguliwa kuwa Rais mpya wa Nigeria baada ya mivutano mirefu ya nchi hiyo kutawaliwa an maswala ya rushwa. 

Buhari alisisitiza sifa yake ya unyenyekevu na kuongeza fedha kutoka kwa wapiga kura wa kawaida. na kudaiwa pia alimuomba watu kumuongezea fedha ya kujiandikisha kama mgombea.
 
Picha hii imeonyesha hisia tofauti baada ya  mke wa kiongozi huyo kuonekana akiwa amevaa saa ya gharama wakati wa sherehe za kumuapisha mumewe kuwa rais wa Nigeria kisha kutumwa katika ukurasa wa instagram wa GEORGE OKORO..
Nisikuchoshe na mengi angalia mwenyewe gharama na jisi ilivyo 
 

No comments:

Post a Comment