Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, June 23, 2015

MAKUBWA HAYA ..... SHEREHE ZA ULAJI NYAMA YA MBWA CHINA





Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama. Takriban mbwa 10,000 watachinjwa na nyama yao kuliwa katika sherehe hizo zitakazofanyika katika eneo la Yulin mkoa wa Guangxi siku ya jumapili na jumatatu ili kuadhimisha kuanza kwa msimu wa joto kulingana na vyombo vya habari vya kitaifa.

No comments:

Post a Comment