Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, June 16, 2015

MLINZI WA CLUB YA BORSUSSIA DORTMUND MATS HUMMELS AFUNGA PINGU ZA MAISHA MAPEMA JANA NA MPENZI WAKE WA SIKU CATHY FISCHER

Borussia Dortmund's Mats Hummels (right) married his partner, Cathy Fischer, in Munich on Monday
Hatimae  mlinda mlamngo wa club ya Borussia Dotmund na timu ya taifa ya Ujerumani Mats Hummels afunga pingu za maisha na mpenzi wake wa sikunyingi  Cathy Fischer  mjini Munich mapema jana jumatatu
The 26-year old World Cup winning defender had flecks of Dortmund-yellow on his wedding suit


Mlinzi wa Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Ujerumani Mats Hummels amefunga ndoa na mpenzi wake wa zamani Cathy Fischer siku ya jumatatu jijini Munich.
Fischer pictured leaving the wedding to Dortmund and Germany defender Hummels on Monday

Mshindi huyo wa kombe la dunia, nyota huyo anaehusishwa kujiunga na Manchester United , Hummels mwenye umri wa miaka 26 alisindikizwa na kaka yake Jonas kwenye harusi hiyo.

Taarifa toka nchini Ujerumani zinadai Hummels na Fischer walianza uhusiano tangu wakiwa na umri wa miaka 19. 

Fischer (left) and Hummels were married at the Mandelstrasse registry office, in MunichHummels aliachwa kwenye kikosi cha Ujerumani kilichocheza na Marekani , Gibraltar kutokana namajeraha ya paja aliyoyapata kwenye michezo ya mwisho ya Bundesliga akiwa na klabu yake ya Dortmund.






No comments:

Post a Comment