Bageti Ya Mwaka 2015/2016 Yatoka, Kodi Ya Mafuta Yazidi Kupanda, Deni La Taifa Laongezeka kwa Asilimia Ishirini Na Moja.
Bageti mpya ya 2015/2016 ni shillingi Trillioni 22, Kodi kwa wafanyakazi yashuka huku kodi ya mafuta yazidi kupanda, Sigara, Bia na Mvinyo vyasalimika.
Deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 21% na kufikia Tzs shllingi Trillioni 35 March mwaka huu, kati ya fedha hizo Tzs. Trillion 25 ni deni la taifa la nje ya nchi likiwa sawa na asilimia 73.2%, na Tz. Trillion 9.4 likiwa deni la ndani ya nchi sawa na asilimia 26.8%.
WAKATI BAJETI IKIWA ISHATOKA NAYO Safari za wagombea urais zinaendelea, leo Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2015, Professa Ibrahim Lipumba nae kuchukua fomu ya ugombea urais mwaka 2015 jumapili hii.

No comments:
Post a Comment