Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, June 2, 2015

UKISTAAJABU YA MUSA .......BABA WA KIM KARDASHIAN ABADILI JINSIA AUNGWA MKONO NA FAMILIA YAKE

Hatimae baada ya kipindi kirefu baba wa kambo  wa Kim Kardashian  maarufu kwa jina la Bruce Jenner ambae  abadili jinsia na kuwa mwanamke inadaiwa kuwa baba huyo amefanya hivyo ili kuwaonyesha wake zake wote wa zamani kwamba na yeye ni mrembo kuliko wao maajabu haya ya dunia ndio maana tunaambia ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.



katika tukio hilo la kushangaza na lenye kukera baadhi ya watu wengine, kwa familia ya Bruce Jenner ni tofauti baada ya watoto wa baba huyo kuonekana kumuunga mkono baba yao kwamba awe na furaha na aishi maisha ayatakayo .

Baadhi ya jumbe mbalimbali za watoto hao katika mitandao ya kijamii wakionekana wenye furaha na kumuunga mkono baba yao

kwa sasa baba huyo anatambulika kama mwanamke na anajina jipyaaaaaa la "Caitlyn Jenner" ana kuongeza katika ukurasa wake wa tweeter kuwa  #CallMeCaitlyn.

katika tukio hilo Caitlyn amejikuta akipata wafuasi wengi na kuvunja kupita kawaida katika ukurasa wake mpya wa tweeter na instagram.




 
Nimebaki na jiuliza tunaelekea wapi walimwengu  pengine mwenzangu una majibu sahihi ya jambo hilo.




Picha yenye black and white ni Bruce Jenner alipoivunja rekodi ya dunia kwa kushinda decathlon gold mwaka 1976 Olympicsleo hii tunaambiwa there is no Bruce jenner kwa sasa ni Caitlyn jenner .






No comments:

Post a Comment