Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, June 1, 2015

NGOMA INAYONIGUSA KWA SASA HUENDA IKA KUGUSA NA WEWE ENEMY SOLO BY AWILO LONGOMBA KICHUPA KIMYAAA

Ni kwa kipindi kirefu sasa mwanamuziki aliepata kutikisa sana Awilo Longomba na kisha kukaa kimya bila kuachia kazi  hatiame hivi mkaribuni  amekuja na kitu kipya.

kwa vile sasa awilo amekuwa akifanya kazi zake huko nchini Nigeria hatimae ameuvunja kimya na kuja na hii hapa mpyaa ikiwa inamoto wake wa hatari mwenye weeeeeh  anakuambia Awilo aye mabeee Elembi solo ha ha ha ni hatari tupu hapa kwa kupigilia msumari wa uhakika amewashirikisha vijana mahiri kwenye ulimwengu wamuziki kutoka nchini nigeria hawa si wengine bali ni mapacha  P SQUARE sasa tafakari AWILO na hao jamaa.  kazi kwako burudika NGOMA INAITWA ENEMY SOLO


No comments:

Post a Comment