Kutokana na ukuaji haraka wa uchumi mkoani Arusha, unaochochewa na
ukuaji wa sekta kama za utalii na madini makampuni ya kibiashara
yanayouza bidhaa mbali mbali nchini yameanza kujisogeza karibu na wakazi
wa mkoa huo ili kunufaika kibiashara.
Moja kati ya makampuni yaliyojidhatiti kuingia katika soko la Arusha hasa katika eneo la simu za mkononi ni Kampuni ya Samsung ambayo amezindua simu yake ya kisasa inayotumia mtandao wa 4GLTE wenye kasi.
Akiongea wakati wa sherehe za uzinduzi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya vifaa vya umeme ya Samsung Tanzania YUYING SEO amesema huduma hiyo itachochea ukuaji wa biashara na uchumi kwa ujumla kwani masuala yote ya kimtandao yatafanyika kwa kasi na haraka zaidi.
Mkuu wa Mauzo na Usambazaji Samsung Electronics SYLVESTER MANYARA amesema technologia hiyo itawezesha wanafunzi kufany a kazi zao za shule kwa haraka na uhakika huku huduma za elimu, afya na serikali mtandao zikipewa msukumo wa kisasa.
balozi wa bidhaa za Samsung Tanzania Bi Vanessa Mdee atakuwa kama uso wa simu zitakazotolewa chini ya mwamvuli wa Muvika. Akichangia juu ya wajibu wake Vanessa

No comments:
Post a Comment