Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, June 16, 2015

UZI MPYA WA ARSENAL HUU HAPA NI WA 2015-2016

(From left) Hector Bellerin, Tomas Rosicky, Santi Cazorla, Danny Welbeck and Nacho Monreal launch the 2015-16 Arsenal home kit
Club  ya Arsenal hatimae imefanya uzinduzi wa jezi mpya mapema jana  kwa msimu wa  mwaka  2015-16 , kwa msaada mkubwa kabisa wa  Mc  au mshereheshaji wa shuhuli hizo Thierry Henry katika uwanja wa Emirates Stadium.

uzinduzi huo ulifanyika jana usiku na baadhi ya wachezaji wakisimama kama model wa maonyesho ya jezi hizo.

Welbeck, speaking to Arsenal legend Thierry Henry on the stage, said he will be able to breathe a bit more in the new kit
Welbeck, akizungumza na mmoja wa  legend wa arsenal Thierry Henry na kusema kuwa katika jezi hiyo inamuwezesha kupumua vizuri akiwa uwanjani.
The five Arsenal players pose inside the stadium - the new Arsenal home kit will be on sale on June 25
wachezaji  wa  Arsenalkatika pozi ndani ya uwanja  wakionyesha uzi mpya wa arsenal 

Bellerin (left) enjoyed a fine breakthrough season with Arsenal and is looking forward to the 2015-16 campaign

Danny Welbeck
Santi Cazorla

kilichojiri nje ya  Emirates Stadium jana usiku 

One fan appeared over the moon to be on stage with Welbeck and Henry
The Arsenal striker and club legend also looked fairly happy
Welbeck, ambae alisajiliwa kwa  £16million kutoka  Manchester United akiwa katika pozi pia

Fans queue to get close to the stage by the Emirates Stadium ahead of the Puma home kit launch on Monday night baadhi ya mashabiki wakiingia e Emirates Stadium kwaajili ya kushuhudia uzinduzi huo wa  Puma home kit Monday night
Monreal (left) and Rosicky share a joke as they prepare for the launch at the Emirates Stadium
Henry played the role of host and entertained fans outside the Emirates Stadium on Monday night
Henry

No comments:

Post a Comment