Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, October 6, 2014

BBA 9 ‘HOTSHOTS’ NDIO KWANZA IMEANZA NA TANZANIA YAANZA VYEMA KW AMSHIRIKI WETU KUWA HOH....



Laveda’s nie alieweza kufanya vyema katika uzinduzi huo kwa kupuliza vyema saxophone ambapo imempelekea yeye kuwa mtanzania wa kwanza na house mate wa kwanza mwaka huu katika shindano hilo kuwa  Head of House
Laveda alijipatia asilimia 85 ya kura kutoka kwa majaji  kutokana na uhodari wake wakuweza kucheza na kifaa hicho akikipuliza kwa umakini wa hali ya juu.


je unadhani Tanzania tutaipeperusha vyema bendera ya nchi katika shindano hili?? kazi ni kwetu kutoa ushirikiano kwa kuwapigia kura washiriki wetu. ambao ni Laveda’s na mwenzake Idriss watanzania hao wanategemewa kufanya makubwa.

No comments:

Post a Comment