Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, October 5, 2014

HONGERA SANA KIBOKO YAO FLORA LYIMO MAMA YA FASHION POLICE UCHAGANI HUWA TUNASEMA CHAMECHA AWAE

Chamecha awae ngakukunda mpaka basi Ruwa mangi akutarame

 # Ukisikia mjini wachaga watafutaji basi jua hii ni 100%  hongera sana mamy yake .....Mchaga ndani ya UK kasimamisha Duka la ukweli sitakikusema mengi ntakuwa nakosea ila na machache . 
 

hongera sana na huu ni mfano wa kuigwa wakina dada wengine wanapaswa kujifunza kujituma na kujiajiri wenyewe haijalishi ni 
kwa kiasi gani ila kujituma kuchakarika ndio mpango wa mjini . kuna msemo kuwa hatukuja mjini kuhesabu magorofa basi tufanye kazi kwa bidii
 
kama mtanzania mwenzangu kama mwanamke mwenzangu mpambanaji na mtafutaji lakini pia kama mchaga mwenzangu nakupongeza sana sana,  jamani ufike wakati wanawake tupendane na tupeane suport wanawake tusipokuwa wamoja tukashikamana na kusaidiana kamwe hatutafanikiwa ..# all the best my dear Flora Lyimo.