Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, October 5, 2014

NANI ZAIDI KWENYE UNENGUAJI KUTOKA KATIKA MAKUNDI HAYA TAZAMA KISHA NIPE MATOKEO

haya mshabiki wa muziki wa dance nakupa makundi kadhaa ya ungenuaji wa bolingo kisha nambie unadhani katika mabiti hawa wanaofanya kazi ya kunengua katika makundi mbalimbali kundi gani linastahili pongezi kwa unenguaji wa kipekee na wakuvutia?
Haya twende tunaanza na kundi la werrason  ilo 
WADADA WA KOFII OLOMIDE NAO HAO HAPO JUU

HAO WA JB MPIANA PIA


HAO JUU NAO NI WA FALLY IPUPA

TUKAHITIMISHA NA HIYO YA VIMWANA WA  FERRE GOLA
WIKI IJAYO TUTAANGALIA HAPA TANZANIA HAYA KWA KUANZIA HUKO KONGO UNADHANI KUNDI GANI NI KIBOKO YA MWENZAKE NITAJIE NAMBA 1,2,3