Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, October 3, 2014

SHIKITO ANDONDOSHA JIWE HAYA KAZI KWAKO SIKILIZA

 haya haya wale wapenzi wa muziki wa dansi mambo ya rumba  mmmh .....unapomzungumzia kijana Shikito kwa wapenzi wa muziki wa dansi na wale wanaofuatilia muziki mtakuwa mnamfahamu vyema  jamaa alitikisa sana wakati yuko kwenye band ya Ferre  golla kwa hivi sasa kijana huyo kipenzi cha wengi liamua kujiondoa na kutaka kufanya kazi zake binafsi naam sasa basi baada ya kuamua kujiengua kutoka katika kundi la Ferre golla je atafanikiwa kusimama na kufanya makubwa kama ya bosi wake msikilize hapa. Mengi  zaidi kumhusu shikito yanakuja .

 bofya hapa na burudika weekend njema ferre gola na shikito wakitumbuiza  walipokuja Tanzania