waswahili wanamsemo kuwa likipangwa limepangwa ni Foluso aliekuwa wa kwanza kuanza kutembelea blog ya Tunde‘s
na kisha kuanza kumfuata katika ukurasa wake wa Twitter wakawa marafiki na sasa ni wachumba !
na kisha kuanza kumfuata katika ukurasa wake wa Twitter wakawa marafiki na sasa ni wachumba !
Foluso (@yoursfashionably) ni designer wa mavazi na ndie alietengeneza muonekano wa mpenzi wake huyo pichani walizotumia kufanya picha zao. wakati ambapo Tunde ni mwandishi ambae amekuwa akiandika habari mbalimbali katika blog yake iitwayo tlsplace.wordpress.com, na amechapisha iitwayo Golden Sands.lakini pia ni mwimbaji.
Be inspired!
***
Bi harusi mtarajiwa ni : Foluso
Bwanaharusi mtarajiwa ni: Tunde
Bi harusi mtarajiwa ni : Foluso
Bwanaharusi mtarajiwa ni: Tunde
~ mpigapicha wao ni: Laphy Photography
Tunde: “ annasema wakati kitu kimetengenezwa kwaajili yako hakika kitakukaa vyema”.
Manamo tarehe 20 ya mwezi September, MUNGU akijalia ntakuwa na muoa binti huyu mrembo ambae nimekutana nae katika mtandao wakijamii wa Twitter! ni mwanamitindo .
Manamo tarehe 20 ya mwezi September, MUNGU akijalia ntakuwa na muoa binti huyu mrembo ambae nimekutana nae katika mtandao wakijamii wa Twitter! ni mwanamitindo .
Foluso: “kutoka kuwa shabiki rafiki mpaka mshirika wa baadae ”
How We Met
anaanza kwa kusema kwa mara ya kwanza kabisa alimfahamu Tunde April 2012 wakati ambapo binamu yake alimtumia link ya blog hiyo kwakuwa walikuwa ni marafiki kutoka kanisani .
moja kw amoja nilijikuta napenda uandishi wake na zilikuwa ni hadidhi za kuvutia kwakuwa sikuwa mtu naemjua sana baada ya muda niliacha kufuatilia blog yake.

kisha tena mnamo December baada ya yuleyule binamu yangu kunishauri mara zaidi ya elfu moja na sababu nyingi za kujiunga katika mtandao wakijamii wa Twitter, nimejikuta napata mmoja z – niliingia na kujikuta naona aliyokuwa anafanya mpenzi wangu ambae tuliachana nae kisha nikakutana na Tunde Leye, nikasema ooh mwandishi kumbe na huku yupo lol kisha nikaanza kumfollow .
kisha mchana wa April 2013,nilichelewa kuingia twitter kutokana na mtandao kutofanya kazi vyema na yeye alikuwa ametweete kuhusu ubovu wa mawasiliano ya mtandao na mie nikaijibu tweet yake.huo ndio ukawa mwazno wa safari yetu. He
said
kwa ufupi sana nimeitafsiri unaweza kuita katika blog yake link iko hapo juu an kusoma zaidi undani wa wawili hao
kwa ufupi sana nimeitafsiri unaweza kuita katika blog yake link iko hapo juu an kusoma zaidi undani wa wawili hao
and
it was in that moment I saw the opened box with the ring in front of
me, it happened so fast I didn’t know where it came from. Then he went
on one knee and slid it on my finger. I was too surprised to talk.
What I Like About Our Proposal
Even though I was expecting a more dramatic proposal knowing the kind of things he writes about, I ended up loving the way it turned out- more private and intimate.
Even though I was expecting a more dramatic proposal knowing the kind of things he writes about, I ended up loving the way it turned out- more private and intimate.
- I like that it happened in my house and in a room which holds many memories for me. Its the same room I had cried myself to sleep many times heart broken. It’s also where I launched off my dream of fashion designing, moving from a bedroom to a fashion workshop.
ushauri wao kwa vijana wenzao
1. kama umeoan kitu ambacho unakitaka usiiste fuata ukitakacho.
2. usikubali wabaya au mabaya yaliofanywa na x wako au yaliopita yaharibu uhusiano wako mpya
3. jibu DMs. kwa uzuri kabisa
1. kama umeoan kitu ambacho unakitaka usiiste fuata ukitakacho.
2. usikubali wabaya au mabaya yaliofanywa na x wako au yaliopita yaharibu uhusiano wako mpya
3. jibu DMs. kwa uzuri kabisa
***
Photography: Laphy Photography | instagram.com/laphyphotography |www.laphyphotography.com | laphyphotography (at) gmail.com
No comments:
Post a Comment