Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, October 5, 2014

NYOTA WA TIMU YA BARCELONA NA ARGENTINA LIONEL MESSI MATATANI KW AKUTOLIPA KODI

Nyota wa timu ya Barcelona na Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya ukwepaji wa kodi,hii ni kwa mujibu wa jaji mmoja wa Uhispania.


Jaji huyo amepinga ombi la kiongozi wa mashtaka la kufutilia mbali mashtaka hayo kwa madai kwamba babake mchezaji huyo ndiye anayesimamia fedha zake.

Messi na babaake Jorge wanashtakiwa kwa kuiibia mamlaka ya taifa hilo zaidi ya yuro millioni 4.

Wote wamekana kufanya makosa hayo yalioanza mwaka 2007.

No comments:

Post a Comment