African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Friday, October 10, 2014
MTAMBUE MWANADADA LAETITIA MELODY NAFASI KWA WANAWAKE WOTE AFRIKA WANAOIBUKIA KIMUZIKI
Muziki ni dawa muziki ni faraja burudani na kila kitu hebu farijika burudika
na utibike na ngoma mpya kutoka kwa binti wa afrika.
kila ijumaa kipengele chetu hiki kitaitwa nafasi kwa wanawake wote afrika
wanoibukia kimuziki.
Mimi kama mimi Sophia huwa naamini kabisa kwamba muziki ni kila kitu ukiwa na mawazo ukiwa maswahibu yako muziki ndio tulizo la moyo wako au sio sasa basi kama wakubaliana na mie, kwanza tukubaliane kuwa sikuhizi hakika muziki unabadilika sana na kina dada wengi wanajitosa kuimba sana tena ni mahodari mmo maana kina dada tumejaaliwa sautui tamu sana hasa ukijua kuitumia , si tu hapa nyumbani Tanzania ila kila nchi, kina dada naona wameamka na kutambua kumbe muziki nao unalipa na sikulipa tu unaburudisha, basi naomba kila wiki hasa kila ijuma,hapa hapa kwenye blog yetu hii niwe na kipengele cha kumtambulisha mwanamuziki mpya mwanamke toka Afrika ambae kwangu naona anastahili kutambulishwa kwa wadau kisha tumuunge mkono, kwa kuanza tuanze kumtambua mwadada huyu.
No comments:
Post a Comment