Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, October 3, 2014

HELLOW FRIENDS!!! TARATIBU NAREJEA BAADA YA KUPOTEA KIMASOMO.

Habari za masiku wapendwa ? wazima nyie kwanza naomba mniwie radhi kwasababu nilikuwa na mambo mengi sana yamenitinga kiasi kwamba nikawa nashindwa kuwapa habari mbalimbali .


Mwenzenu kazi nyingi lakini pia nimekua chuo sasa na huu ni mwaka wangu wapili ambapo inshalah mwezi ujao ndo nahitimu elimu yangu si unajua wapendwa elimu haina mwisho mtumzima mwenzenu nilienda kujinoa vile ha ha ha lol  ili niwe sawa basi nitarejea kwakua ndio hatua za mwisho nahitimu walau ntakuwa natokeza hapa kuwapa mawili matatu yanayojiri duniani nisiwachose najua loong hatujazungumza ngoja nirejee kwenye kazi wakati mwingine tutaongea zaidi.
Nawapenda sana tafadhali tuwe pamoja
Wenu Mwana blogger 
Sophia Kessy