Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, October 8, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE LEO ANATARAJI KUKABIDHIWA KATIBA RASMI ILIYOPENDEKEZWA MJINI DODOMA.

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania hii leo anataraji kukabidhiwa katiba rasmi iliyopendekezwa mjini Dodoma.
 
Tukio hilo la kihistoria linahitimisha mchakato wa kikao cha Bunge maalum la Katiba kilichomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita kwa kuipitisha katiba tarajiwa kwa zaidi ya theluthi mbili ambapo kwa sasa inasubiri kupelekwa kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni hapo mwakani.

No comments:

Post a Comment