Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, October 29, 2014

HAROLD NA HASHINA WAMEREMETA

Harold & Hashina watikisa jiji la Arusha ilikua ni shida katika bustani za TJT. Nicky productions kama kawa ndani ya nyumba
inatuvuta na kutufikisha eneo la tukio. KA SAINE NA YEYE KATOKELEZEA
 MAHARUSI NA NYUSO ZA FURAHA


ASANTE SANA NICKY PRODUCTIONS KWA PICHA ZA MATUKIO TUKO PAMOJA. KEEP IT UP BRO...