Najionea fahari na furaha kila wakati napokuwa na Mama mwenye upendo wa dhati kwakweli nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa Malezi bora upendo na suport ninayoipata toka kwa Mama yangu ambae amekuwa bega kwa bega na mie from day 1 nilipoiona hii dunia na kisha kunilea kwenye maadili ya dini na mila na tamaduni pamoja na heshima zote za kiafrica , Mama Mzaa chema Mama ambae amekuwa benga kwa bega na mie katika kila jambo ambalo nimekuwa nalifanya # siwezi hata kuelezea zaidi Mwenyezi mungu ndie ajuae.. napata shida sana some time naposikia au kuona Mama akiwa Mgonjwa naamini Mungu atakuwekea Mkono wake wa kheri na soon utapona na kurejea katika hali yako ya kawaida always praying for you My Mama Nakupenda sana . naamini soon you will be ok.
Friends please Pray for My Mama Presha inamsumbua sana sijui na uzee nao ila i hope soon she will be ok na kurejea katika harakati zake. Love you Mama.
Friends please Pray for My Mama Presha inamsumbua sana sijui na uzee nao ila i hope soon she will be ok na kurejea katika harakati zake. Love you Mama.
No comments:
Post a Comment