Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, October 23, 2012

WIB KITCHEN PART GALA ILIVYO NOGA

 
Muandaaji wa shughuli hii DINA MARIOS akitoa muongozo kwa GEA HABIB aliyekuwa MC wa shughuli hii

                                  SKYLIGHT BAND NDO ILOTUPA RAHAA
Aunt Sadaka alitufunda kama kawa

             Chris Mauki hali kadhalika.....alitugusa wengiii ;)    



                       Getrude Mungai kutoka Kenya alivunjaa....shurti kwa vitendo,
 Nimegundua kitu sisi watanzania huwa tunaaibu ya kuzungumza especial mambo haya yahusuyo mapenzi  ,lakini si kwa huyu Dada sijui ni kwa vile ni kazi yake au ndo wakenya wako hivyo, mi nilimpenda, tukipata nafasi ya kuongelea haya masuala kwa uwazi na tukakaa na wenzi wetu nahisi itasaidia mno
PICHA NI KWA HISANI YA 8020 FASHION NA SHAMIM ZEZE. KWA PICHA HABARI AN MATUKIO ZAIDI TEMBELEA  http://8020fashions.blogspot.com

No comments:

Post a Comment