Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, October 24, 2012

PLAN YANGU NI KUUNGANISHA NGUVU NA VIJANA WENZANGU NA KUFANIKISHA MALENGO YAO KIMAWAZO NAAMINI INAWEZEKANA

@VijanaNguvu kazi ya taifa tuanze sasa DM me kwa twetter in box me on FB call me if you can and let's be together nipe maoni yako unataka nikupe suport gani katika kufikia unayo tamani si kifedha KIMAWAZO na KIUSHAURI I will be there for you.
  • Aboubakar Sadik Aaaah!kifedha mbona umeitoa?
  • Sophie Kessy Aboubakar Sadik ni vyema nikawa muwazi mapema kifedha bado sikomakini kumuwezesha kila mmoja ila kimawazo na kiushauri tukikaa pamoja vijana linawezekana bila garama yeoyote na pale inapo bidi fedha basi tutashauriana na vijana wenzangu tufanye nini tuende wapi kuzipata ili basi tukamilishe ndoto zetu.
  • Sophie Kessy Naomba pia niseme ushauri huu tutakao peana uwe ni wa kutafuta Maisha tutafute kupata maendeleo tufanikishe ndoto zetu usiniombe ushauri wa kutafuta mke au mume au mchumba au mpenzi utakuwa nje ya uwezo wangu lol ha ha ha.
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Hilo lamsingi,ila wewe mwenyewe unajiusisha na nini?Mimi niko tayari kujadiliana na wewe na kuanzisha organization yetu ya vijana kusaidiana.
  • Jeremiah Oscar Nahitaji kuwa na wewe inbox lakin nashindwa nahitaj msada wako dada
  • Sophie Kessy Cristopher philemon hilo ni jambo zuri mie ni Mfanya biashara mmiliki wa Sk entertainment ambayo ina husika na maswala ya burudani kwa napia ni mfanya biashara lakini pia ni muajiriwa wa Clouds media group still sijakamilisha ndoto zangu nahitaji kujiunga na vijana kama wewe wanaotaka kufika mbali na kukamilisha ndoto zao kwa pamoja kama vijana kila kitu kinawezekana
  • Sophie Kessy Haya Jeremiah accept nimeku add unaweza ni inbox kwa sasa
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Sawa Sophia,je unafikilia tunaweza kuuungana na vijana wengine kw anjia hiPI?Je tunaweza kukutana au kufanya mawasiliano kwa njia hipi ikiwa out of fb?
  • Sophie Kessy Inawezekana kila kitu ni kuamua tukianza hapa na kisha kuambiana tukakutana na kupanga mengine kumbuka hata wewe na mie tumeanza hapa na inawezekana tukafikia mbali kumbuka Fb imekuwa kiunganishi kwa wengi sana . Kila jambo linawezekana ni kuamua vijana tukutane wapi na kisha tujadili yanayo tuhusu
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Oky,je mpaka sasa nivijana wangapi wako tayari kuungana na sisi?
  • Sophie Kessy Kwa sasa cristoper ngoja niwajibu sms zao then nitarejea kwako kukupa matokeo ni wangapi watakuwa tayari and we can do something kwa vijana
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Oky ,hatakama hujapata vijana wengine,tukae chini sisi tuanzishe then wengine watafuta.Ila mini ninaishi Nje ya Dr es salaam na email yangu cmpuzu@gmail.com
  • Rehema Chonko Sophie ww ni mfano wa kuigwa nikikulinganisha na watu wengine wanaojulikana, wenyewe ni kuuliza wkend wp guyz, ooh jana nilikula sana !....una moyo haijalishi unachokifanya kitafakiwa au lah ila umeshaonyesha nia! Kwangu mm BIG UP!
  • Sophie Kessy asante sana Rehema Chonko nashukuru kwa kuliona hilo kikubw ani tuwe pamoja daima ku suport wenzetu haya maisha ya sasa si yakuwaza bata all the tyme kuna kesho uzee nao unakuja si unajua fainali uzeeni ha ha ha lv you
Nashukuru vijana wenzangu kwa kuniamini nimepata in box zenu zote ninaahidi kuzijibu Mmoja baada ya mwingine na nina amini kwa mwendo huu wa dakika cheche jumbe nilizo pokea ni dhahiri kwamba vijana tuna Moyo wa kujituma na tuna nia ya kufanikisha malengo yetu kikuwa ni kuwa pamoja tushauriane tusikilizane na tukosowane pale tunapokosea ili kufika mbali zaidi nawapenda wooote .

No comments:

Post a Comment