Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, October 23, 2012

Utapeli Makanisani kwa jina la Mungu Ni hatari hii imetokea Kenya

Pale wachungaji wanapo amua kujinufaisha wakilitumia vibaya jina la MUNGU fuatilia kwa umakini  mkasa wa ESTER MWENDE ambae anatumikia wachungaji badala ya MUNGU ambapo hulipwa kushuhudia uongo kanisani  mbele ya waumini  na kisha kulipwa shilingi elfu 2 mpaka elfu 10 za Kenya. fuatilia na utafakari.



kazi hii imefanywa na mwandishi mahiri kutoka kenya ambae amekuwa akivuka mipaka na kuweka wazi yale ambayo hayajafichuliwa hongera sana kaka MOHAMED ALLY WA JICHO PEVU . inawezekana pia na hapa kwetu ipo labda haijafuatiliwa tu stay tune nitakuletea mazuri zaidi ukiw ana wazo lolote maoni usiogope niandikia hapo hapo.
Utapeli kwa jina la Mungu Pt. 2

No comments:

Post a Comment