kuna mji mmoja nchini Alaska ambao umemfanya paka kuwa MEYA wa Mji huo kwa miaka 15.
paka huyo aliepewa jina la Stubbs amekuwa MEYA wa Talkeetna, huko Alaska kwa takriban muda wa maisha yake yote na hii sio utani.
Imekuwa ni kwa zaidi ya muongo sasa katika mji mdogo wa utalii wenye wakazi takriban 900.
paka huyo alipewa uheshimiwa huo wa UMEYA mara baada tu ya kuzaliwa kwake na mpaka sasa wananchi wa eneo hilo wanafahamu fika kuwa paka aitwae "Stubbs huyo ndio MEYA.
"paka huyo amekuwa akiandikwa katika majarida kadhaa huko Alaska, na amekuwa featured katika mambo kadhaa tofauti," alisema Lauri STEC, ambaye anafanya kazi katika Hifadhiya Nagley na ni Mkuu katika hifadhi ya Talkeetna, ambapo Stubbs ndipo anapoishi .
ilikuwa kama hadhithi ambapo, miaka 15 iliyopita wakazi wa mji huo hawakupenda wagombea ambapo inadaiwa kuwa watu wengi walikuwa wanakimbia kwa meya wa Talkeetna, hivyo kama utani utani tu wakachoshw ana tabia hizo na kuhamasishana watu na kweli , wakahamasika vya kutosha na kisha kumchagua Stubbs paka kama awe mgombea na kweli lengo likatimia na yeye kweli paka huyo alishinda.
kwa Sasa, zimekuw ani shukurani kw amji huo kwakuwa meya paka Stubbs, amekuwa akipata viongozi mbali mbali nna wageni ambao wamekuwa wakitembelea eneo hilo hasa majira ya joto kufurahi na kujione ilivyo.
No comments:
Post a Comment