unajua unapokuwa unafuatilia shows fulani basi kama mwanamke kuna vitu ambavo vinaweza kuwa vinakuvutia nilibahatika kuona Emmy Awards ambazo zilijumuisha kina dada warembo sana huko majuu lakini kupitia DSTV nilivutiwa na muonekano wa mavazi haya ambayo yanaonekana kushika chart.
sikuhizi bwana mtu anapokualika kwenye shuhuli yake basi kina dada wengi huwa tunajiuliza sana nivae nini ili tu ukabambe ndani ya Red Carpet si unajua tena na Bongo watu hawataki utani coz ladies wa Bongo Tz shiiiii*** wanajua kuvaa bwana .
No: 3

No: 1
No: 2
No: 3
No:4
No:5
No:6
Nilivutiwa na mavazi haya labda na wewe unaeza vutiwa na mmoja wapo ukaweka oda then kwenye Red Carpet ukafunike unayoifikiria.
No comments:
Post a Comment