Mamlaka ya Hali ya Hewa yatahadharisha Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara Tanga, Morogoro , Pwani na Visiwa vya Unguja na Pemba Kukumbwa na Mvua Kubwa kwa saa 24 kila Siku, kuanzia April 30 hadi Mei 04.
African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Monday, April 30, 2012
BREAKING NEWS.....MBUNGE WA JIMBO LA SUMBAWANGA MJINI AVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA
aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal akiwa katika mazungumzo waziri mkuu Mizengo Pinda (kulia)
Aliyekuwa mbunge wa CCM jimbo la Sumbawanga Aeshi Hilla akiwa katika moja kati ya mikutano yake ya kampeni zilizompa ubunge ambao leo umekoma.
Mahakama imetengua ubunge wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal hivyo kuanzia sasa jimbo hilo lipo wazi kwa ajili ya uchaguzi mwingine kama ilivyo kwa jimbo la Arusha mjini .
Habari kamili inakuja
Aliyekuwa mbunge wa CCM jimbo la Sumbawanga Aeshi Hilla akiwa katika moja kati ya mikutano yake ya kampeni zilizompa ubunge ambao leo umekoma.
Mahakama imetengua ubunge wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal hivyo kuanzia sasa jimbo hilo lipo wazi kwa ajili ya uchaguzi mwingine kama ilivyo kwa jimbo la Arusha mjini .
Habari kamili inakuja
HONGERA SANA KAKA HAKI NGOWI TWAKUOMBEA KILA LA HERI KATIKA MAISHA YAKO YA NDOA.
Haki Thomas .K. Ngowi na Edna Newton Kyando wameremeta
Sheria Ngowi (kati) na nduguze katika mnuso wa Haki Ngowi
Mama Ngowi akikaribishwa kutoa zawadi kwa Haki
Mama Ngowi akitoa zawadi ya Biblia Takatifu .
Wazazai na ndugu wa binti wakimpongeza mtoto wao
Ndugu wa binti wakienda kutoa mkono wa pongezi kwa maharusi
Ndugu wa Bi Harusi
Ni furaha na vifijo
Shangazi akitoa wosia
Keki
Haki Ngowi akiwa na mpambe wake John Mwansasu
Maharusi na wapambe mezani pao
Furaha ya Kumeremeta
MC Evans Bukuku Kazini |
Madada wakila pozi
Bi Harusi
Wapendanao
“NIONJE”-MR.NICE Feat.BARNABA(BRAND NEW)
Tukisema anarudi maana yake ni kwamba alipotea.La!Alikuwepo akapumzika kupisha upepo uliokuwa umeweka kiza mbele yake. Sasa anaendelea tena.Namzungumzia Mr.Nice ambaye alitamba sana mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka katikati hususani na style yake ya TAKEU ambayo mwenyewe mpaka leo anasema ni uvumbuzi wake mwenyewe.
Hapa anakuja kutoka FishCrab Records pale kwa Lamar akiwa amemshirikisha Barnaba ambaye kwa hakika wengi tunakubali kwamba he is the best vocalist.Sijui kama naweza kusema hili hapa lakini nadhani hapa ni almost Old school meeting New School. Wimbo unaitwa Nionje. Usikilize
habari kwa hisani ya Bongocelebrity
Read more: BongoCelebrity
ZINGATIA: BLOGGERS’ CODE OF ETHICS
Be Honest and Fair
Bloggers should be honest and fair in gathering, reporting and interpreting information.
Bloggers should:
• Never plagiarize.
• Identify and link to sources whenever feasible. The public is entitled to as much information as possible on sources’ reliability.
• Make certain that blog entry, quotations, headlines, photos and all other content do not misrepresent. They should not oversimplify or highlight incidents out of context.
• Never distort the content of photos without disclosing what has been changed. Image enhancement is only acceptable for technical clarity. Label montages and photo illustrations.
• Never publish information they know is inaccurate — and if publishing questionable information, make it clear it’s in doubt.
• Distinguish between advocacy, commentary and factual information. Even advocacy writing and commentary should not misrepresent fact or context.
• Distinguish factual information and commentary from advertising and shun hybrids that blur the lines between the two.
Minimize Harm
Ethical bloggers treat sources and subjects as human beings deserving of respect.
Bloggers should:
• Show compassion for those who may be affected adversely by Weblog content. Use special sensitivity when dealing with children and inexperienced sources or subjects.
• Be sensitive when seeking or using interviews or photographs of those affected by tragedy or grief.
• Recognize that gathering and reporting information may cause harm or discomfort. Pursuit of information is not a license for arrogance.
• Recognize that private people have a greater right to control information about themselves than do public officials and others who seek power, influence or attention. Only an overriding public need can justify intrusion into anyone’s privacy.
• Show good taste. Avoid pandering to lurid curiosity.
Be cautious about identifying juvenile suspects, victims of sex crimes and criminal suspects before the formal filing of charges.
Be Accountable
Bloggers should:
• Admit mistakes and correct them promptly.
• Explain each blog’s mission and invite dialogue with the public over its content and the bloggers’ conduct.
• Disclose conflicts of interest, affiliations, activities and personal agendas.
• Deny favored treatment to advertisers and special interests and resist their pressure to influence content. When exceptions are made, disclose them fully to readers.
• Be wary of sources offering information for favors. When accepting such information, disclose the favors.
• Expose unethical practices of other bloggers.
• Abide by the same high standards to which they hold others.
Source: Cyber Journalist
Read more: BongoCelebrity
VIJANA WA ELIMU YA JUU WATINGA CCM KUFIKISHA UJUMBE WAO DHIDI YA MAFISADI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.
Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao.
Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.
. Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao.
Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.
NAOMBA TUMSAIDIE WASTARA NA SAJUKI KWENYE HILI
KUFIKISHA MSAADA WAKO TUMIA AKAUNTI HII
AKIBA BANK AC #050000003047,WASTARA JUMA
MPESA::0762189592
HATA MLIO NJE YA NCHI AMBAO MNGEPENDA WASAIDIA WASTARA NA SAJUKI WAWEZA TUMA PESA HATA KWANGU NAMI NITAWASILISHA NA NITAANDIKA HAPA KILA KIASI NILICHOPOKEO ILI KUHAKIKI NA TWENDE SAWA
NATANGALIZA SHUKRAN ZANGU KWENU WADAU
MAMA IQRA
HATA MLIO NJE YA NCHI AMBAO MNGEPENDA WASAIDIA WASTARA NA SAJUKI WAWEZA TUMA PESA HATA KWANGU NAMI NITAWASILISHA NA NITAANDIKA HAPA KILA KIASI NILICHOPOKEO ILI KUHAKIKI NA TWENDE SAWA
NATANGALIZA SHUKRAN ZANGU KWENU WADAU
MAMA IQRA
Sunday, April 29, 2012
Kanisa lashambuliwa Nairobi
Mripuko kwenye kanisa mjini Nairobi, Kenya, umeuwa mtu mmoja na kujeruhi wengine 10.
Polisi wanasema guruneti lilirushwa kwenye kanisa la God's House of Miracle kwenye mtaa wa Ngara, wakati wa ibada ya asubuhi.
"Tumepokea majeruhi 7, mwanamke mmoja aliumia vibaya kwenye mguu wa kushoto, ambao umevunjika mahala kadha.
Mwanamme mmoja alikuwa na majaraha kadha kwenye nyama na tunafikiri amevunja mifupa piya; labda tukimfanyia x-ray tutatambua.
Kuna mama mmoja aliyevunja kidogo kisuguru cha mguu wa kushoto, na wengineo wamepata mikwaruzo-kwaruzo na kujikata-kata."
Kumetokea mashambulio kadha ya maguruneti nchini Kenya tangu mwaka jana pale serikali ilipotuma wanajeshi Somalia kupambana na wapiganaji wa Kiislamu, Al-Shabaab.
Easter bomb attack near Nigeria church kills at least 20
The explosion, a stark reminder of Christmas Day attacks that left dozens of people dead in Africa’s most populous nation and largest oil producer, hit the city of Kaduna, a major cultural and economic centre in the north.
Motorcycle taxi drivers and passers by appeared to have borne the brunt of the blast, and body parts littered the area.
As news of the attack spread, security forces boosted patrols in key areas, including in the capital Abuja, where soldiers were sent to reinforce police posted near churches, an AFP correspondent reported. There was no immediate claim of responsibility.
Details were still emerging of the attack, but at least one car said to be driven by a suicide bomber was believed involved. A rescue official speaking on condition of anonymity said two vehicles packed with explosives detonated.
“Now we have 20 dead from the twin explosions,” the rescue official, who was not authorised to speak publicly, told AFP. Officials were still counting the number of wounded, he added.
“Bombs concealed in two cars went off just opposite this church,” he said.
A police officer at the scene said a man believed to be a suicide bomber driving a car was stopped at a checkpoint near another church, the Evangelical Church of West Africa, and turned back.
He then drove to a nearby area in front of a hotel, close to the Assemblies of God church, and detonated the bomb. The church did not appear to have any significant damage. Other cars in the area were damaged, but it was unclear if they were also carrying explosives, he said.
“We have a bomb explosion. We are trying to sort things out,” police spokesman Aminu Lawal told AFP. A spokesman for the national emergency management agency said most of the victims appeared to be motorcyle taxi drivers.
Islamist group Boko Haram carried out a series of attacks on churches and other locations on Christmas day, the bloodiest at a church outside Abuja, where 44 people died.
The Nigerian authorities as well as foreign embassies had warned of the possibility of an attack on Easter Sunday.
Boko Haram’s increasingly bloody insurgency has left more than 1,000 people dead since mid-2009. Police and soldiers have often been the victims of such attacks, though Christians have been targeted as well.
Friday, April 27, 2012
KAMATI KUU YA CCM YARIDHIA KUVUNJWA BARAZA LA MAWAZIRI.
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyoketi leo Jijini Dar es Salaam imeridhia uamuzi wa Mwenyekiti wake Rais JAKAYA KIKWETE kuvunja na kulisuka upya Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uamuzi huo wa Rais KIKWETE wa kuliunda upya Baraza hilo umekuja baada ya kupokea taarifa ya maazimio ya Kamati ya Wabunge wa CCM iliyoketi Mjini Dodoma wakati wa vikao vya mkutano wa saba wa bunge uliomalizika hivi karibuni.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa NAPE NNAUYE ameeleza kuwa pamoja na Kamati Kuu kuridhia uamuzi wa Rais KIKWETE pia imemtaka awawajibishe watendaji wakuu wa Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali ambao wamehusika katika ubadhirifu wa mali na rasilimali za umma.
Katika hatua nyingine Kamati Kuu imeipongeza Kamati teule ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa ripoti yao ya uchunguzi iliyobaini ubadhirifu katika baadhi ya sekta ndani ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
KITABU CHA (When My Baby Dreams) UBUNIFU KAMA HUO UNAWEZA KUKUINGIZIA PATO NA KUKUFANYA MAARUFU
Adele Enersen ni mwandishi, na mpiga picha lakini pia ni blogger mwenzetu yeye anaishi huko Helsinki, Finland na binti yake, anaejulikana kwa jina Mila, akiwa katika kipindi cha mapumziko ya uzazi amekuwa akitumia muda wake mwingi kumuangalia mwanae na kujaribu kufanya ubunifu akimuangalia binti yake na kufanya ubunifu wa hali ya juu akiwa anamuandalia kama maisha bora ya hapo baadae.
baada ya picha hizo kusambaa akiwa na iezi miwili 2 , Mila’s Daydreams zikaanza kutimia akaanza kupokea wageni zaidi ya milioni mbili kwa mwaka kwenda kumuona mtoto huyokupitia picha tu alizokuwa akiweka za ubunifu katika blog yake na inasadikika kuwa baada ya mwaka mmoja Adele’s akaamua kuandika kitabu cha kwanza cha mwanae huyo ili na wengine wanunue wamuone mtoto huyo na kuona ubunifu wake.
Mama huyo ameweza kutengeneza baadi ya picha kama utakazo ziona za mwanae mchanga kwa ku buni na kuhakikisha anatengeneza kitabu cha hadithi kwaajili ya mwanae huyo alichokipa jina la WHEN MY BABY DREAMS yeye anaamini kuwa kiabu hicho kitamsaidia kitauza na kitatengeneza fedha nzuri kwa ajili ya mwnae huyo.
so happy uuuh
jua au mvua ikizidi hana tabu
hata yeye anajua kucheza mpira
nadhani hii imenikosha kuliko zote MSOMI
na vipepeo pia
lovely
ubunifu tu
hapo chacha
Adele Enersen’s Mila, alizaliwa katika mwaka 2010 ambapoa mara baada ya kuzaliwa mama yake aianza kumpiga picha na kusha kuziingiza katika blog yake akiwa ameziweka katika ubunifu wa hali ya juu kama unavyoona pichani .
baada ya picha hizo kusambaa akiwa na iezi miwili 2 , Mila’s Daydreams zikaanza kutimia akaanza kupokea wageni zaidi ya milioni mbili kwa mwaka kwenda kumuona mtoto huyokupitia picha tu alizokuwa akiweka za ubunifu katika blog yake na inasadikika kuwa baada ya mwaka mmoja Adele’s akaamua kuandika kitabu cha kwanza cha mwanae huyo ili na wengine wanunue wamuone mtoto huyo na kuona ubunifu wake.
Subscribe to:
Posts (Atom)