Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, April 11, 2012

Kumbe Shanga za Mikufu Utoka kwenye Tumbo la Kome (oyster shell)!?!...Sikujua.



MMMH MESHANGAA JAMANI SHANGAENI NA NYIEEEH!!!.

Hivi unajua kuwa mikufu ya aina hii shanga zake upatikana tumboni mwa kome (Oyster)?... Mie siku zote nimekuwa nikifikiri zote ni za plastic na zinaundwa na mashine.lol!

HATA MIE NIMESHANGAA ASANTE TK KWA KUNIFUNGUA AKILI MWEEEH!!!!!

No comments:

Post a Comment