Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, April 6, 2012

RAISI JAKAYA KIKWETE ATANGAZA TUME YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA.


Rais JAKAYA KIKWETE ameunda tume ya kukusanya maoni ya wananchi kwaaajili ya mchakato wa kuunda Katiba mpya ambayo inaongozwa na mwenyekiti Jaji JOSEPH SINDE WARIOBA na makamu Mwenyekiti Jaji mkuu mstaafu, AUGUSTINO RAMADHANI.
Rais KIKWETE amesema tume hiyo itakayoanza kufanya kazi kabla ya mwisho wa mwezi April mwaka huu inajumla ya wajumbe 30 wakiwemo 15 kutoka Tanzania Bara na 15 kutoka Tanzania Zanzibar.
Tume hiyo ambayo imezingatia uwakilishi kwa makundi yote itafanya kazi yake kwa muda wa miezi 18 kwa mujibu wa Katiba kabla ya kuitishwa kwa Bunge la Katiba litakalopitia mapendekezo ya kamati ya kukusanya maoni ya Katiba.

VIONGOZI WALIOTANGAZWA.
UONGOZI WA JUU
1. MHE. JAJI JOSEPH SINDE WA RIOBA
2. MHE. JAJI  MTAAFU AGUSTINO RAMADHANI.

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA BARA
1. PROF.MWESIGA L BAREGU
2. ND. RIZIKI SHAHARI MNGWALI
3. DR. EDMUND ADRIAN SENGODO MVUNGI
4. ND RICHARD SHADRACK LYIMO
5. ND . JOHN J NKOLO
6. ALHAJ SAID EL- MAARY
7. ND. DESCAR SYDNEY MKUCHU
8. PROF. PALAMANGAMBA J. KABUDI
9. ND. HUMPREY POLEPOLE
10. ND YAHYA MSULWA
11. ND. ESTER P. MKWIZU
12. ND. MARIA MALINGUMU KASHONDA
13. MHE. AL-SHYMAA J KWEGRY (MB)
14. ND. MWANTUMU JASMINE MALALE
15. ND JOSEPH BUTIKU.

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA- ZANZIBAR
1. DKT. SALIM AHMED SALIM
2.ND. FATMA SAID ALI
3.ND. OMARY SHEHA MUSSA
4.MHE RAYA SALIM HAMADI
5.ND. AWADHI ALI SAID
6.ND. USSI KHAMIS HAJI
7.ND. SALMA MAOULID
8.ND. NASSORO KHAMIS HOHAMED
9.ND. SIMAI MOHAMED SAID
10.ND. MUHAMED YUSSUF MSHAMBA
11.ND. KIBIBI MWINYI HASSAN.
12.NDSULEIMAN OMARY ALI
13.ND. SALAMA KOMBO AHMED
14.ND ABUBAKAR MOHAMED ALI
15.ND. ALLY ABDULLAH ALLY SALEH.

UONGOZI WA SEKRETARIET
1. ND ASSA AHMAD RASHID- KATIBU
2. ND CASMIR SUMBA KYUKI- NAIBU KATIBU.

No comments:

Post a Comment