Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, April 9, 2012

"NENO NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI" KUTOKA KWA MRISHO MPOTO

  
 
"NENO NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI"
Lulu ni Mtanzania mwenzetu, rafiki yetu,mdogo wetu pia.chuki tunayoanza kutengeneza kati ya Marehemu kipenzi cha wengi "KANUMBA" na Lulu ningeomba tuache kwanza, tumpumshe mwenzetu kwanza Leo april 10. ANGALIZO TU.
 
AKIENDELEA KUTOA NENO LA MSINGI
 
 
NILIDHANI NIMESHAZOEA KUSIKIA HABARI ZA KUSHITUA, LAKINI KWA HII YA KANUMBA? SINA NGUVU TENA, KAMA MOSHI UMEKWENDA HAUTARUDI, KAMA JANI KWENYE MTI LIKIDONDOKA HALIRUDI. KANUMBA TUPE ANGALAU DAKI MOJA TUKUAGE RAFIKI YANGU, NAKUMBUKA UTANI WETU "FITINA MWAKA WAKO HUUMOJA" UMIMEBAKI HISTORIA KWELI? RUDI JAPO TUSEME NENO KWAHERI.