Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, April 11, 2012

MAMA YAKE LULU AONGEA NA WATANZANIA KUPITIA KIPINDI CHA WANAWAKE LIVE CHA EATV NA JOYCE KIRIA


Pichani ni Mama yake mzazi Lulu

IKIWA NI MASAA TANGU STEVEN KANUMBA AZIKWE, MAMA WA LULU AMBAYE ANASHIKILIWA NA POLISI KWA KUHUTUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA  MSANII HUYO, AMEONGEA NA JOYCE KIRIA KUPITIA KIPINDI CHA WANAWAKE LIVE NA  KUSEMA KUWA ANA MASIKITIKO NA MSIBA WA KANUMBA AMBAYE ALIKUWA NI KAMA MWANAE NA KUMPA POLE MZAZI MWENZIE MAMA KANUMBA, NA AKAOMBA WATU NA VYOMBO VYA HABARI KUACHA KUHUKUMU NA KUEGAMIA UPANDE MMOJA, AKISEMA WALE WOTE NI WATOTO, NA ALIOMBA WANAHARAKATI WAMSADIE KATIKA MATATIZO HAYA KWA MWANAE.. NA KUSEMA HILI SUALA LIKO MAHAKAMANI NA IACHIWE MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE NA WATU WAACHE KUHUKUMU.