Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, April 27, 2012

KITABU CHA (When My Baby Dreams) UBUNIFU KAMA HUO UNAWEZA KUKUINGIZIA PATO NA KUKUFANYA MAARUFU

Adele Enersen ni mwandishi, na mpiga picha lakini pia ni blogger mwenzetu yeye anaishi huko Helsinki, Finland na binti yake, anaejulikana kwa  jina Mila, akiwa katika kipindi cha mapumziko ya uzazi amekuwa akitumia muda wake mwingi kumuangalia mwanae na kujaribu kufanya ubunifu akimuangalia binti yake na kufanya ubunifu wa hali ya juu akiwa anamuandalia kama maisha bora ya hapo baadae.

the cutest baby dream photography01 The Cutest Baby Dream Photography

Mama huyo ameweza kutengeneza baadi ya picha kama utakazo ziona za mwanae mchanga kwa ku buni na kuhakikisha anatengeneza kitabu cha hadithi kwaajili ya mwanae huyo alichokipa jina la WHEN MY BABY DREAMS yeye anaamini kuwa kiabu hicho kitamsaidia kitauza na kitatengeneza fedha nzuri kwa ajili ya mwnae huyo.


the cutest baby dream photography02 The Cutest Baby Dream Photography
so happy uuuh

the cutest baby dream photography03 The Cutest Baby Dream Photography

jua au mvua ikizidi hana tabu
the cutest baby dream photography04 The Cutest Baby Dream Photography
the cutest baby dream photography05 The Cutest Baby Dream Photography

hata yeye anajua kucheza mpira
the cutest baby dream photography06 The Cutest Baby Dream Photography

nadhani hii imenikosha kuliko zote MSOMI
the cutest baby dream photography07 The Cutest Baby Dream Photography

the cutest baby dream photography08 The Cutest Baby Dream Photography

na vipepeo pia
the cutest baby dream photography09 The Cutest Baby Dream Photography
the cutest baby dream photography10 The Cutest Baby Dream Photography
lovely
the cutest baby dream photography11 The Cutest Baby Dream Photography
the cutest baby dream photography12 The Cutest Baby Dream Photography
the cutest baby dream photography13 The Cutest Baby Dream Photography
the cutest baby dream photography14 The Cutest Baby Dream Photography

ubunifu tu
the cutest baby dream photography15 The Cutest Baby Dream Photography

hapo chacha
the cutest baby dream photography16 The Cutest Baby Dream Photography


the cutest baby dream photography17 The Cutest Baby Dream Photography


the cutest baby dream photography18 The Cutest Baby Dream Photography


the cutest baby dream photography19 The Cutest Baby Dream Photography


the cutest baby dream photography20 The Cutest Baby Dream Photography


the cutest baby dream photography21 The Cutest Baby Dream Photography

Adele Enersen’s Mila, alizaliwa  katika  mwaka 2010 ambapoa mara baada ya kuzaliwa mama yake aianza kumpiga picha na kusha kuziingiza katika blog yake akiwa ameziweka katika ubunifu wa hali ya juu kama unavyoona pichani .

the cutest baby dream photography22 The Cutest Baby Dream Photography

baada ya picha hizo kusambaa akiwa na iezi miwili 2 , Mila’s Daydreams zikaanza kutimia akaanza kupokea wageni  zaidi ya milioni mbili kwa mwaka  kwenda kumuona mtoto huyokupitia picha tu alizokuwa akiweka za ubunifu katika blog yake na inasadikika kuwa baada ya mwaka mmoja Adele’s akaamua kuandika kitabu cha kwanza cha mwanae huyo ili na wengine wanunue wamuone mtoto huyo na kuona ubunifu wake.

No comments:

Post a Comment