Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, April 17, 2012

WAMEONGEA NA WAMESIKIKA TUSUBIRI MATOKEO YAO SASA YATATANGAZWA RASMI SAA 11.

Kura zikapigwa baada ya waheshimiwa wabunge watarajiwa kutoa nasaha zao na kujinadi vilivyo kwa luga ya Kiswahili na sasa yafuatayo ni majina ya washindi kama ilivyo tamkwa kutoka bungeni live.

KUMBUKA NI WAGOMBEA 33 ambao wameomba kupigiwa kura na ni 9 KATI YA WOTE WALIOJIELEZA NDIO WANAOTAKIWA .
WABUNGE WALIOPO NDANI YA BUNGE NI 302 AMBAO NDIO WALIOPIGA KURA.

TWANGOJA MATOKEO YAKITOKA TU UTAYAKUTA HAPA STAY TUNE


No comments:

Post a Comment