Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, April 25, 2012

BAADAYA UPASUAJI WA KUBADILI SURA MARA 100 WAREMBO WA BONGO TUJIFUNZE KATIKA HILI..............!!!


Huyu ni  ex-model Alicia Douvall. yadaiw akuwa kwa sasa hawezi kamwe kuishi maisha yake yote bila kufanyiwa  plastic surgeries . kwa mara ya kwaza alipofanyiwa upasuaji wa kujibadilisha sura ni wkati alipokuwa na umri wa miaka 15 tu.

na unaambiwa kuanzia wakati huo mpaka leo hii tayari ameshafanyiwa upasuaji mara 100  hebu fikiria leo hii anavyo onekana .!!


MWANZONI UTAPENDEZA NA KILA MTU ATAKUTAMANI ILA KIFUATACHO...........


mmmh sina comment hapa jamani nisaidieni nyie wadau wa that's it
WAKINA DADA WENGI BONGO NAO SIKUHIZI WAMEJITOSA KUFANYA UPASUAJI KUONGEZA MAZIWA JE MWAJUA MADHARA!!
MADHARA YA KUBADILISHAJI WA SURA, MIKOROGO NA VIPODOZI VYENYE KEMIKALI


HEBU JIFUNZE KITU KUTOKANA NA MREMBO HUYO KUBALI KUBADILIKA EPUKA KUIGA KILA UNACHOKIONA ACHA KUTUMIA @ KWASABABU UNAENDA NA WAKATI.

Onyo kwa ndugu zangu na marafiki mnaopenda kuiga jamani hii tuwaachie wenyewe hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa Natural kuanzia ngozi ya mwili wako na hata kila kitu na si kujibadilisha, mimi naamini kuwa mwenyezi MUNGU alipokuumba alikuwa na makusudi fulani kukuumba jinsi ulivyo hakika nidhambi kubwa sana kuikosoa kazi yake MOLA jikubali, jiamini na jamii itakukubali hakuna binadamu mbaya duniani wote ni wazuri .

BY SOPHIA KESSY.

No comments:

Post a Comment