Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, April 9, 2012

MAANDALIZI YAKIENDELEA HAPA LEADERS CLUB JANA USIKU.

Hivyo ndivyo maandalizi yakiendelea hapa viwanja vya Leaders Club na kesho ndio tutamuaga ndugu yetu rafiki yetu kipenzi chetu katika tasnia ya filamu hapa tanzania Steven Kanumba.
 
PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA.