Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, April 3, 2012

Jide akiwa na Lauryn Hill

image

Mwanamuziki
Judith Wambura aka Jide akiwa amepozi na mwanamuziki  Lauryn Hill huko Cape Town Africa ya Kusini alipokuwa katika shughuli zake binafsi za kikazi. Jide kwa sasa yuko jijini ambapo moja ya kazi alizofanya baada ya kurejea ni kuzindua albamu yake ya 5 The Best of Lady Jay Dee. Jide alimsifia mwanamuziki huyo nguli kwa kusema maneno matatu tu ambayo yana maana kuwa “…she is natural, beautifull, and so amazing” Alimalizia Jide kupitia mtandao wake wa Facebook.

KUTOKA KWA KAKA PIUS WA SPOTI STAREHE