Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, April 13, 2012

Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya imeapishwa

Hatimaye tume maalumu kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi wa Tanzania juu ya katiba mpya imeapishwa leo na rais jakaya Kikwete. Kuapishwa kwa wajumbe wa tume hiyo ilioteuliwa sasa kunafungua safari mpya kwa taifa letu kuelekea kwenye katiba mpya.

No comments:

Post a Comment