Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, April 10, 2012

SAFARI YA MWSIHO YA KANUMBA LEADERS CLUB KUUAGA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

 Wanakwaya wakiimba nyimbo za uzuni.

Hii ndio sehemu ambayo mwili wa marehemu Kanumba unatarajiwa kuwekwa 

 Hawa watoto wanaopita ndio watoto waliokuwa wakicheza movie na marehemu Kanumba enzi ya uhai wake

 Mama yake Kanumba aliyenyoosha mkono juu kuwapungia watu waliokuja uwanjani


 Huyu dada hapa mbele alikuwa akilia kwa uchungu sana hadi nilikuwa namuonea huruma


 Hemed na Yusuph Mlela wakiingia


Makamu wa rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali 

 Mke wa rais Mama Salma Kikwete


Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akitoa heshima zake za mwisho kwenye mwili wa marehem.
UPDATES: KUTOKA LEADERS CLUB WATU WENGI WAZIMIA KUTOKANA NA KIFO CHA MAREHEMU KANUMBA, VIONGOZI MBALI MBALI WAAGA MWILI WA MAREHEMU,WENGI WAMLILIA MAREHEMU KANUMBA
 Mdogo wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapo.
 Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapa.

 Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.

 Mwili wa Marehemu ukiwasili uwanjani hapa.
 ukipelekwa sehemu maalum iliyoangaliwa.

PICHA KWA HISANI YA JIACHIE AMOJA NA DJ CHOKA