Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Saturday, April 7, 2012

UPDATE ZA PICHA ZA MATUKIO YA NYUMBANI KWA KANUMBA KATIKA MSIBA WAKE

ANGALIA NAMNA WATU WANAVYOHUZUNIKA NA MSIBA WA STEVEN KANUMBA
 picha kwa hisani ya djchoka.blogspot.com

Taarifa zilizothibitishwa na baadhi ya wasanii wenzake wa filamu Steven Kanumba amefariki dunia usiku huu wa saa 9 kutokana na kupata ajali ambayo ilimpelekea kudondoka chini na kufikia kichwa usiku huu nyumbani kwake Sinza. Taarifa zaidi zitaendelea kukujia kila tutakapozipata. Mwenyezi mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Steven Charles Kanumba.UPDATES: UMATI WA WATU WALIOPO NYUMBANI KWA MAREHEMU KANUMBA SINZA VATICAN
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ CHOKA.