Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, April 5, 2012

OKOA MAISHA YA MTOTO HUYU ( I beg you please save the life of this child )

Huyu mtoto amezaliwa hana sehemu ya haja kubwa na wazazi wake hawana UWEZO wa kumlipia garama za matibabu ili afanyiwe upasuaji hali ambayo imewalazimu kwenda dispensary tuu kwaajili ya kupata matibabu madogo na kusababisha apasuliwe tumboni kwa ajili ya  kupata sehemu ya kutolea haja
huyu mtoto ana miezi minane hana sehemu ya haja kubwa kwa hiyo haja kubwa anatolelea sehemu ya tumbo ambapo kuna uwazi ili kufanikisha zoezi zima la upasuaji anahitaji kiasi cha shillingi laki tisa (900,000) kwa yeyote alioko tayari asaidie

Hii ni sehemu ya tumbo anapotolea hajakubwa huyu mtoto na hii ni kutokana na kushindwa kumlipia gharama mtoto huyu mwenye miezi nane kwa yeyote mwenye kutaka kusaidia tuma pesa kwa CRDB A/C no A/C 014203004968

NAMBA YA SIM YA WAZAZI WA MTOTO HUYO KWA ANAEWEZA KUWASAIDIA NI ‎0764759882 .( ukiwa nje ya tanzania anza na +255-764759882)

           LETS HELP THIS CHILD
This is the part of the stomach where she excrates her parents cant afford money for the sugery if can contribute anything to help this baby here is the bank account CRDB A/C 014203004968
This child is 8months old and she has a serious problem she doesnt have excretory organ in body therefore she excrate through an opening part of her stomach to sort her
problem Tshs 900,000 is needed