Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, April 12, 2012

WAKATI MWINGINE MAWAZO HUGONGANA EEH KUTOKA KATIKA SURA KITABU CHA JANET TALAWA

KAMA ALIVYOSEMA JANET NA KAMA NILIVYO SEMA KATIKA KICHWA CHA HABARI KUWA WAKATI MWINGINE MAWAZO HUGONGANA HUWEZI AMINI LEO NILIKUWA NIMEKAA NAANZA KUANDIKA JUU YA MCHEZA FILAMU AMBAE NADHANI ANAWEZA KUINYANYUA ZAIDI TASNIA YA FILAMU HAPA NCHINIKWA KUITANGAZA ZAIDI KIMATAIFA NA KWA MAWAZO YANGU BINAFSI NIKAMFIKIRIA JB NI MTU MWENYE KIPAJI SANA, BAHATIKA KUANGLIA FILAMU ZAKE NAPENDA UCHEZAJI WAKE NA NAMNA ANVYOWEZA KUUVAA UHUSIKA KATIKA FILAMU .

LAKINI WAKATI NA WAZA HAYO NIKAANZA KUPERUZI KATIKA SURA KITABU MARA GAFLA NIKAKUTA WAZO NILILOKUWA NALO KUMBE NA JANET NAE ALIKUWA NALO SIO VIBAYA BASI TUKAUWA NA MAWAZO HAYO YALIOYOGONGANA TUKA SHARE PAMOJA.






Wako wengi wazuri lakini kwasasa huyu ndie namba moja wangu kwa upande wa wanaume
 



 HAYA NDIO MAONI YA WADAU WA FILAMU PENGINE NA WEWE UNAYAKO UNAWEZA KUTOA COMMENT YAKO.


    • Iddy Harnaa Mkwama Kwa muda mrefu sijaona wa kumfananisha naye,,jamaa ana uwezo mkubwa sana kwenye hii sanaa...
      3 hours ago ·

    • Janet Talawa huwezi kuboreka na uigizaji wake,kinachonivutia zaidi anacheza namba zote!maskini,tajiri,mtu wa kati...
      3 hours ago · · 3

    • Iddy Harnaa Mkwama kweli kabisa Janet, kuna filamu yake moja anacheza kama mfanyabiashara wa ng'ombe,,akaja mjini akaibiwa fedha zake zote, akapata kazi kwa mama mwenye mgahawa,, akawa anapika chapati na kuhudumia wateja,,jamaa ni mkali sana huwa namkubali ile mbaya...
      3 hours ago ·

    • Gustav Nicholaus Sister Jane na kwa upande wa wanawake?
      3 hours ago ·

    • Christopher Andendekisye yap. ngoja nasi tujitokeze. Teh teh
      3 hours ago ·

    • Fredrick Bundala Yuko vzr, by the way nilikuwa nina miaka kama mitano sijaangalia filamu ya Bongo mwanzo hadi mwisho. So juzi siku ya pasaka nilialikwa sehemu na wakawa wameweka ile filamu yake ya Dj Ben. Nilishangaa kwanza namna ambavyo filamu zetu zimefika interms of production (HD), Story, casting nk. Nilipenda jinsi JB alivyo natural. He is very good. Pia Irene yuko poa sana hasa kwenye charecter ya Tough Girl! Licha ya kwamba tumempoteza Kanumba, naamini filamu za Bongo zimefikia pazuri sana sasa hv.
      3 hours ago ·

    • Janneth Walwa Hata mimi namkubali sana huyu @wajina bonge la bwana JB mimi namkubali sana naninahisi ndio atachukua nafasi ya marehemu mpendwa wetu Steven Kanumba maana anakubalika kila mahali
      3 hours ago · · 1

    • Sarah Patrick Makwesa JB fanya kazi sasa,,coz watu wamekukubali wadhihirishie kuwa unaweza,,nafasi yako kaka
      3 hours ago ·

    • Albert Alex Ibrahim Jb anaendana sana na kanumba,ni flexible character yoyote anafit...,
      3 hours ago · · 1

    • Mariah La Esperanza You can say that again dada, JB ni kiboko na ndo mwanaume mwigizaj pekee 2nae wezasema atatupa faraja badala ya kaka ye2 mpendwa, yupo makin na kaz zake na zinakubalika chamsingi nikumwombea kwa Mungu ampe hekima zaid na kumwonyesha njia sahh ili awezetenda yale yampasayo nakumpandisha juu zaid
      3 hours ago ·

    • Jacob Musobi Right from the start baada ya kupata habari ya msiba wa Kanumba my first emage alikuwa Jacob wajina..siku zote nimekuwa nikiwaambia watu about hw talented the guy is..napenda anapofoka. Ukitaka raha tazama movie yake mpya flani inaitwa Tax Driver..the guy is genius. He will lead us to the position we looking for.
      2 hours ago ·

    • Mwanga Neema True ...its the same on my side..the guy is so smart
      2 hours ago ·

    • Ahmad Issa Michuzi NAUNGANA NA WEWE 100% JANETM,KWA MTAZAMAJI WA FILAMU ZA KIBONGO UPATE UKAKIKA ANGALIA TAX DRIVER UTAIPENDA
      2 hours ago · · 1

    • Maria Fly kwa upande wa wanawake, kujibu comment ya hapo juu...wa ukweli kuliko wote ni Wema Sepetu...chiki binafsi mbali
      2 hours ago ·

    • Maria Fly ila mi nadhani, kwa kiasi kikubwa, mmesahau uzuri wa mzee majuto...
      2 hours ago ·

    • Songoro Jumbe Gaddafi janeth walwa,achana na JB hakuna wa kumfananisha nae hata kidogo na hana mpinzani hata kidogo na hata marehemu jb ni namba ya mwisho hana mpinzani
      2 hours ago ·

    • Ahmad Issa Michuzi HAJASAUHALIKA MZEE MAJUTO YEYE NI MKONGWE..! ILA KWA KIZAZI KIPYA JB KINARA KWANGU,SITAKI WATU WA MAKELELE,MTU KAJIGONGA KIDOGO MAKELELEEEEEEE
      2 hours ago · · 1

    • Peter Ngassa Ambroce mmeshamsahau SCK? alikuwa wa ngapi?
      2 hours ago ·

    • Ahmad Issa Michuzi soma status inasemaje Peter ala
      2 hours ago ·

    • Heriswida Lyaunga Jb mkali sana ila afanye mazoez ya mwili
      2 hours ago ·

    • Peter Ngassa Ambroce siku chache tu jamani mshaanza kumdelete hapana, hizo rank bado muda wake!!! tunaweka ranks kwa kazi au uhai? labda kuwe kuna sababu binafsi
      2 hours ago ·

    • Ahmad Issa Michuzi Mimi binafsi na nasema kutoka moyoni kwa sasa sina wa kumshabikia, wa kwanza ni JB,tatizo lako peter huna mda angalau wa kuangalia kazi za wasanii wa nchi yako,mm binafsi nna cd kibao za kanumba na JB
      2 hours ago ·

    • Elizabeth Makyau Mhhh guyz mbona mapema sana.kiwanda kinazalisha bdo so don say much
      about an hour ago · · 1

    • Angel Masai the same to me jb alikuwa number mbili but now kawa namba moja
      about an hour ago ·

    • Kisibi Isaya yaaani hujakosea kabisa, hasa ukimcheki kwenye dereva taxi alafu ukaenda mpk kwenye DNA, ndo utamkubali hlo halina ubishi kabisa 250%, kama vile ulijua
      53 minutes ago ·

Sophie Kessy ‎100% jamaa anakipaji sana anajua kuuvaa uhusika yuko vizuri sana akaze buti sasa aitangaze tasnia ya filamu amuenzi kanumba awasaidie vijana wadogo lakini pia wale wazee wakongwe kama alivyofanya kanumba ahakikishe anaifikisha sanaa mbali zaii tunaamini anaweza.
28 minutes ago · · 1
  • Anna Peter Apema Ki ukweli kwangu JB ni muigizaji ambaye naweza kumlinganisha na DK cheni,kwa anayejua sanaa ya uigizaji naamini hawezi kupingana nami,tuache masihara DK Cheni na JB they are real good,wanauvaa uhusika mpaka unajisikia raha. Akifuatiwa na Claud mimi huwa sichoki kuwaangalia hawa watu wanapokuwa kikazi zaidi katika sanaa
    15 minutes ago ·

  • Anna Peter Apema Unapoangalia filamu kuna mambo matatu muhimu kuhusu mhusika ,KUMPENDA,KUMCHUKIA au KUMUHURUMIA,sasa mimi nilimchukia JB kwenye filamu ya 14 DAYS alipoigiza kama mume wa WEMA SEPETU,nilipata hisia na kukasirika,na hii ndio kazi ya kumhusika anapouvaa uhusika
    10 minutes ago ·

  • No comments:

    Post a Comment