Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, April 2, 2012

PONGEZI ZANGU ZA KWA WAFUATAO KUANZIA MWISHONI MWA WIKI HADI LEO JUMATATU.NAPENDA PIA KUCHUKUA FURSA HII YA KIPEKEE KUWAPONGEZA WANA CHADEMA WOTE KWA USHINDI MZURI TU WALIOUPATA HUKO ARUMERU MASHARIKI LAKINI PIA KUMPONGEZA SIOI SUMARI KWA KUKUBALI MATOKEO HAYO WAKATI AKIJIPANGA VIZURI KWA MWAKA 2015 . NACHOWEZA KUSEMA KWA WANA CCM NI KILICHOBAKI NI KURUDI NYUMA KUJITATHIMINI NA KUJIPANGA ZAIDI HII NI KAZI NZITO SANA NA YENYE KUHITAJI MOYO NA NGUVU.PONGEZI NYINGI KWA WASHINDI WA TUNZO ZA HABARI TUZO MAHIRI NDUGU YANGU NA MWANA HABARI MWENZANGU ABEL ONESMO KUTOKA CLOUDS TV LAKINI PIA SWAHIBA ANTONIO NUGAZ MMETUWAKILISHA VYEMA WANA MJENGONI.


TUNATEGEMEA NA MWAKANI PIA INSHALAH MCHUKUE VILE VILE PIA.